Po pote mashamba yajaa, Tele nafaka pevu, Po pote yang'aa meupe Bondeni na nyandani. Mwenye mavuno, wasihi Upeleke wavuni, Wakusanye mazao, Hata kazi iishe. Wapeleke uchaoni, Waende na jotoni, Mpaka jua lishukapo Wakusanye ko kote. Watenda kazi wa Bwana, Mlete sasa mazao, Na jioni ingieni Kwake na furaha kuu.Song From Heaven hllwyạ ạ̉ml ạlbdạyẗ Chcę Panie sławić Cię wciąż Той е мой Ko Ni Ba Zan Tafiya da Ƙafafu О любовь пою Твое явленье اختبرتني يا الله Он есть En Kutsal Yer
Song not available - connect to internet to try again?