Sioni haya kwa Bwana Kwake nitang'ara! Mti wake sitakana, Ni neno imara! Msalaba ndio asili ya mema, Nikatua mzigo hapo; Nina uzima, furaha daima, Njoni kafurahini papo. Kama kiti chake vivyo Ni yake ahadi, Alivyowekewa navyo Kamwe havirudi. Bwana wangu, tena Mungu Ndilo lake jina! Hataacha roho yangu Wala kunikana. Atakiri langu jina, Mbele za Babaye, Anipe pahali tena Mbinguni nikae.مره كنت Тоқтай тұршы бауырым сәл баяулап Весільна музика في ملء الزمان Jak jeleň dychtí za vodou Снова Рождество Аав аа аав минь ээ Eu Te laud Jesus elsker alle barna V láskavých rukách
Song not available - connect to internet to try again?