Yesu unipendaye Kwako nakimbilia, Ni wewe utoshaye, Mwovu akinijia; Yafiche ubavuni, Mwako maisha yangu; Nifiikishe mbinguni Wokoe moyo wangu. Ngome nyingine sina; Nategemea kwako. Usinitupe Bwana , Nipe neema yako, Ninakuamania Mwenye kuniwezesha; Shari wanikingia, Vitani wanitosha. Nakutaka Mpaji Vyote napata kwako; Niwapo muhitaji, Utanijaz vyako; Nao waangukao Wanyonge wape nguvu; Poza wauguao, Uongoze vipofu. Bwana umeniosha Moyo kwa damu yako; Neema ya kutosha Yapatikana kwako; Kwako Bwana naona Kisima cha uzima; Mwangu moyoni Bwana, Bubujika daima.Prys die Heer met blye galme sr ạlbrkẗ kfạyty fy mn fdy̱ nfsy mn ạlhlạk Ты мой Бог Rabbe Övgüler Sunun எனக்காய் ஜீவன் விட்டவரே За тебя я молюсь Улугбек 2005 минус 26 Spousta lidí Duchu lásky príď
Song not available - connect to internet to try again?