Kale nilitembea Nikilemewa dhambi Nilikosa msaada, kuniponya mateso. Usifiwe Msalaba! Lisifiwe kaburi! Linalozidi yote, Asifiwe Mwokozi! Hata nilipofika, Mahali pa Msalaba, Palinifaa sana, Sitasahau kamwe. Hicho ndicho chanzo, Cha kufurahi kwangu. Hapo ndipo mzigo, Uliponituliwa. Panapo msalaba, Kinatolewa cheti, Cha kuingia Mbinguni, Kisicho cha kanisa. Yule Bwana mjinga, Likwenda bila cheti, Kitumai kwingia, Kama walio nacho. Lipofika langoni, Akaulizwa cheti, Cha kumwonyesha Bwana, Akakutwa hanacho. Lituhuzunishalo, Ni ninyi msio nacho, Kuwa kama mjinga, Kwa siku ya arusi! Ubavuni mwa Yesu, Mlitokea damu, Chemchemi ya uzima, Itakasayo roho. Jitahidi wingie, Damuni mwa Mwokozi, Utafutiwa dhambi, Toka rohoni mwakoEllerinin İşlerine Bakınca В горах иль в долине يوم ما يتنسيش wqt ạlsẖdẗ lmạ lạ Hrad prepevný je Boh náš jǐn jǐn de lā zhe nǐ de shǒu Средь страданий и невзгод ạ̉nạ ʿạrf ạ̹nk Ai hotărât pentru o vreme
Song not available - connect to internet to try again?