Kuwatafuta wasioweza, Kuomba wamrejee Yesu, Kuwaambia maneno yake, 'Njooni kwangu, nawapenda'. Nitakwenda, (kwenda), niwatafute Waongofu (wa Bwana) wageuke, Waingie (wote) katika zizi La Mkombozi (wetu) Yesu kristo. Kuwatafuta wasioweza, Waonyeshwe Mwokozi wetu, Kuwaongoza, wapate wote Uzima wa milele. Kazi hiyo nataka kufanya, Leo nimesikia mwito Kuwainua waangukao, Waletwe kwake Yesu njia.Adora Dio yạlly btkẖạf ʿlyạ Это мой удел İnsan Kalbi Acılıdır Сана Бакъйорум, Раббим Սուրբ Գահի Առջև Կանգնած Ascultă glasul ce te cheamă gẖryb ạ̉nạ fy ạlʿạlm Кто как наш Бог? Maravilla, maravilla
Song not available - connect to internet to try again?